1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
Poa
Push up, skwash, kukata tumbo,trycepUnafanya mazoezi gani?
Picha?Kuna picha ambayo kwangu haifunguki au?!
2.5 OverUnagonga vingapi?🙄🙄
Lengo siyo kupungua rafiki bali ni kujenga mwili!Umepungua kg ngapi?
Sikuwa na lengo kupunguza kg,Umepungua kg ngapi?
Kama kawaaaaa,,Tumbo limekatika??
Weeee,hongera mkuu, nakuona unanawiri tuu
Push up round 10@ reps20Ebu tupe hyo routines hapa mkuu, tunufaike pia.