Mi kupungua natakaLengo siyo kupungua rafiki bali ni kujenga mwili!
Rafiki acha kwanza kula chips yai na zile bia unazokunywa kwa nyama choma!Mi kupungua nataka
Naenda reps 200 ndani ya round 10Push ngapi?
Pamoja sanaa mkuuUko vizur buda
Hapana dadaEbu weka picha jamani ndio nikupe hongera
Nna four packs,, tano na sita kwa mbali zimeanza,Kwahiyo tayari ushazipata six packs?
Kweli kuna kipindi nlikuwa nalalamika naanza na kuacha baada ya wiki kadhaa, ila kwa sasa nimepata ufumbuzi,, huu mwez wa pili sasa,, naendeleza mazoezi mkuu,,,Mimi nina miaka takribani 8 nimeacha vyuma vizito, ninanyanyua mwili wangu (mazoezi ya nyumbani) na kukimbia uwanjani. So inawezekana na ninahisi (sina uhakika kisayansi) mazoezi haya ni safe kuliko ya nondo.
Kwahiyo inawezekana.
Ila mkuu nina swali moja, kuna kipindi ulikuwa unalalamika kwamba unafanya mazoezi halafu unaacha, je ulipata solution?
😀.Unagonga vingapi?🙄🙄
Hilo la vyuma hata mm nlipitia huko ila nkaona nnavoacha na mwili hupotea,, katika pitapita zangu nikakutana na jamaa angu mmoja mdau mkubwa wa zoez akanishauri niachane na vyuma,,,Mimi nina miaka takribani 8 nimeacha vyuma vizito, ninanyanyua mwili wangu (mazoezi ya nyumbani) na kukimbia uwanjani. So inawezekana na ninahisi (sina uhakika kisayansi) mazoezi haya ni safe kuliko ya nondo.
Kwahiyo inawezekana.
Ila mkuu nina swali moja, kuna kipindi ulikuwa unalalamika kwamba unafanya mazoezi halafu unaacha, je ulipata solution?
Raha sana maana mwili unakuwa active mda woteIla mazoezi raha sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna picha ambayo kwangu haifunguki au?!
Mmmh mzigua anavopenda chipsMi kupungua nataka
Ebu tolea maelezo kama hautomaindi, hizi ndio zafanywajwe?Push up round 10@ reps20
Squat round 10@ reps 20
Squat left leg round 10@ reps20
Squat right leg round 10@ reps20
Trycep round 10@ reps20
Kukata tumbo 10@ reps20
= reps 1200
1 hour
Vyuma hapana tulishaacha uko,,Aaah! Hayo mavyuma mnayaweza wenyewe
Inategemeana na aina ya mazoezi unayopendelea au malengo yako mkuu.Watu wanafel sana,kuamin mazoez mpaka ukimbie weeee, unyanyue vitu vizito as if unajiandaa na mashindano ya Olympic ..
Mazoezi ni Afya, fanya mazoez kuweka sawa misuli ,akili, mifupa na mwili ktk mazingira sahihi.
Binafsi Mazoez madogo ndo nafanya, and mwili uko vzuri kabisaaa !!
Ipi mkuu, push up napiga round 10,, ktk kila round kule kubonyea chini juu chini juu naenda mara 20 ktk round 1, kwa hiyo naenda mara 200 Ndani ya round 10Ebu tolea maelezo kama hautomaindi, hizi ndio zafanywajwe?
Ni kweli kuna mazoezi ya kupunguza mwiliInategemeana na aina ya mazoezi unayopendelea na malengo yako mkuu.
Unataka kupungua or just fun?Push up, skwash, kukata tumbo,trycep
Huwa napendelea haya zaidi.Na pia kuna mazoezi ya kuimarisha misuli