Nimefikisha miezi miwili ya kufanya mazoezi bila kutumia vyuma vizito, nafanyia home tu

Nimefikisha miezi miwili ya kufanya mazoezi bila kutumia vyuma vizito, nafanyia home tu

Mimi nina miaka takribani 8 nimeacha vyuma vizito, ninanyanyua mwili wangu (mazoezi ya nyumbani) na kukimbia uwanjani. So inawezekana na ninahisi (sina uhakika kisayansi) mazoezi haya ni safe kuliko ya nondo.

Kwahiyo inawezekana.

Ila mkuu nina swali moja, kuna kipindi ulikuwa unalalamika kwamba unafanya mazoezi halafu unaacha, je ulipata solution?
Kweli kuna kipindi nlikuwa nalalamika naanza na kuacha baada ya wiki kadhaa, ila kwa sasa nimepata ufumbuzi,, huu mwez wa pili sasa,, naendeleza mazoezi mkuu,,,
 
Mimi nina miaka takribani 8 nimeacha vyuma vizito, ninanyanyua mwili wangu (mazoezi ya nyumbani) na kukimbia uwanjani. So inawezekana na ninahisi (sina uhakika kisayansi) mazoezi haya ni safe kuliko ya nondo.

Kwahiyo inawezekana.

Ila mkuu nina swali moja, kuna kipindi ulikuwa unalalamika kwamba unafanya mazoezi halafu unaacha, je ulipata solution?
Hilo la vyuma hata mm nlipitia huko ila nkaona nnavoacha na mwili hupotea,, katika pitapita zangu nikakutana na jamaa angu mmoja mdau mkubwa wa zoez akanishauri niachane na vyuma,,,

Akasema ni bora push up na mazoez mengine ya kunyanyua uzito wako wa mwili kuliko wa vyuma,,,

Nikaanza ila baadae nikaacha baada ya yale maumivu ya mwanzo mwanzo,, hii ni miaka mitano nyuma ndo nlikuwa mtu wa kuacha mazoezi, ila huu mwaka nimeamua kutoka moyoni mazoezi yawe ndani ya ratiba yangu kila siku
 
Watu wanafel sana,kuamin mazoez mpaka ukimbie weeee, unyanyue vitu vizito as if unajiandaa na mashindano ya Olympic ..

Mazoezi ni Afya, fanya mazoez kuweka sawa misuli ,akili, mifupa na mwili ktk mazingira sahihi.

Binafsi Mazoez madogo ndo nafanya, and mwili uko vzuri kabisaaa !!
Inategemeana na aina ya mazoezi unayopendelea au malengo yako mkuu.
 
Ebu tolea maelezo kama hautomaindi, hizi ndio zafanywajwe?
Ipi mkuu, push up napiga round 10,, ktk kila round kule kubonyea chini juu chini juu naenda mara 20 ktk round 1, kwa hiyo naenda mara 200 Ndani ya round 10
 
Back
Top Bottom