Nimefikisha miezi miwili ya kufanya mazoezi bila kutumia vyuma vizito, nafanyia home tu

Ukiwa na mwili wenye kuonekana una afya ila hauna mazoezi ya cardio ni kazi bure. Magonjwa nyemelezi yako pale pale. Usemacho wewe ni kujenga tu mwili hapo ila ukimalizia na zoezi la kukimbia au cardio yoyote unakuwa umemaliza kazi kabisa. Kama jamaa hafanyi vardio nina uhakika hana stamina yaani pumzi fupi.
 
Push up round 10@ reps20
Squat round 10@ reps 20
Squat left leg round 10@ reps20
Squat right leg round 10@ reps20
Trycep round 10@ reps20
Kukata tumbo 10@ reps20

= reps 1200

1 hour
Huu ni uongo, usitafte sifa huna uwezo huo hata mwarabu fighter anachemka hizo reps!
 
Fafanua hapo mwisho jamaa hana pumzi
 
Huu ni uongo, usitafte sifa huna uwezo huo hata mwarabu fighter anachemka hizo reps!
Mkuu hapa sitafuti sifa,,

Hichi nnachofanya hapa nimereta mrejesho, kuna watu watakuja hapa wanaenda zaidi ya hapa,, kuna watu wanafanya asubuhi na jion,,

Ila mimi nafanya asubuhi tu,

Kuna watu watakuja watakwambia hizi ndogo kwao,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…