1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
- Thread starter
-
- #201
Ndo mwenyewe
Yaaan hamna haja ya chuma mkuu,,Mkuu huyu jamaa nilipiga workout moja ya leg aisee ni siku mbili tu nikaanza kuona misuli inajaa kwenye mapaja, nikaamini hapa NO EQUIPMENT NEEDED, anashauri aina ya vyakula vya kutumia.
Kuna mtoto wake naona ameanza kumpigisha zoezi, dogo ameanza kupiga push ups
Kula karanga sana na majiYaani nile nisishibe hivi kuta kucha kweli blaza?
Usiache mkuuSimchezo duuuh
Yap, niko nyuma yakoMimi nina miaka miwili sasa
Nina video zake nyingi sana, hakika ukipiga mazoezi yake ni wiki moja tu unakuwa na mapenzi bodyYaaan hamna haja ya chuma mkuu,,
Kukomaa tu kule,,
Huyu mwana yuko vizuri sanaaa,,,
Karanga mbichi?Kula karanga sana na maji
Sawa mkuu asante kwa ushauriUnashibaje wewe mwanaume..
Mwanaume kula bakiza sehemu ya maji na hewa.
Sio unakula mpaka tumbo linavimba ukilala kifudifudi upepo ukipiga unazunguka acha hzp wewe.
Hakikisha unafanya zoezi na unakula WASTANI.
mwili wako hauhitaji chakula kiasi cha mtu akala mpaka akajaza ndi ndi ndi.kazi zenyewe ziko wapi
Ndio mkuuKaranga mbichi?
Weka pichaHapa penyewe niko nakula Zoezi
Mkuu yaani ni burudaniii mnooo aiseeKaranga mbichi?
Poa kaka asanteNdio mkuu
Hehehehee zisije zika hamia chini blazaMkuu yaani ni burudaniii mnooo aisee
Teh teh teh acha woga,, ukipga matizi na yakaingia mwilin hata ham ya mapenzi hupungua, ila ndo zikifumuka basi lazima shemela apige yoweHehehehee zisije zika hamia chini blaza