Nimefikisha mwaka 1 kwa kufanya mazOezi bila kunyanyua vitu vizitO,

Nimefikisha mwaka 1 kwa kufanya mazOezi bila kunyanyua vitu vizitO,

Mkuu huyu jamaa nilipiga workout moja ya leg aisee ni siku mbili tu nikaanza kuona misuli inajaa kwenye mapaja, nikaamini hapa NO EQUIPMENT NEEDED, anashauri aina ya vyakula vya kutumia.


Kuna mtoto wake naona ameanza kumpigisha zoezi, dogo ameanza kupiga push ups
Yaaan hamna haja ya chuma mkuu,,

Kukomaa tu kule,,

Huyu mwana yuko vizuri sanaaa,,,
 
Unashibaje wewe mwanaume..

Mwanaume kula bakiza sehemu ya maji na hewa.

Sio unakula mpaka tumbo linavimba ukilala kifudifudi upepo ukipiga unazunguka acha hzp wewe.

Hakikisha unafanya zoezi na unakula WASTANI.

mwili wako hauhitaji chakula kiasi cha mtu akala mpaka akajaza ndi ndi ndi.kazi zenyewe ziko wapi
Sawa mkuu asante kwa ushauri
 
Hehehehee zisije zika hamia chini blaza
Teh teh teh acha woga,, ukipga matizi na yakaingia mwilin hata ham ya mapenzi hupungua, ila ndo zikifumuka basi lazima shemela apige yowe

Kumwaga tunachelewa sana wana mazoezi,, sababu akili imekaa inawaza zoez mda mrefu.

[emoji3]
 
Back
Top Bottom