Nimefikisha mwaka 1 kwa kufanya mazOezi bila kunyanyua vitu vizitO,

Ni kweli tunajua moja ya faida ya Mazoezi ni hasa Kukomaa kwa Kujengeka vyema Kimwili ili Usiku au Alfajiri uwavizie Watu Vichochoroni ili uwakabe na wakishakabika vyema basi ama wakupe unavyovihitaji au uvichomoe mwenyewe tu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ahahaaaaaaa....!β€œwakishakabika vyema”
 
Ni kweli tunajua moja ya faida ya Mazoezi ni hasa Kukomaa kwa Kujengeka vyema Kimwili ili Usiku au Alfajiri uwavizie Watu Vichochoroni ili uwakabe na wakishakabika vyema basi ama wakupe unavyovihitaji au uvichomoe mwenyewe tu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]...!ahahaaaaa...! β€œwakishakabika vyemaβ€œ. Nikuambie. Wengi wa wale wakabaji ni wavivu ndio maana wanakaba. Nikizungumzia wavivu,maana yake hata mazoezi hawafanyi. Mazoezi yanahitaji moyo,mtu anaejituma,mtu mwenye maamuzi. Hao wakabaji wengi ni laini sana ukimvimbishia,wengi wanategemea tu-visu. Wanye kuamua kwa usahihi kufanya mazoezi wengi wao nimeona wanajiweza hata kwa kuanzia kiwango cha kati kiuchumi. Kwa hiyo hawana shida ya kukukaba
 
kweli mkuu vyuma ni kujionesha na taatizo la vyuma ni kwamba ukiacha kuiniua tuu ndaini ya mwezi unaporomoka ila mazoezi ya kawaida unabaki katika hali ya kawaida
Mimi kila siku nakimbia 4KM nikirudi napiga sprint round 5 kila round inachukua urefu wa 50m.

Then baada ya hapo naruka kamba miruko 100 ile ya fasta fasta huku jasho likizidi kuchemka.

Kisha baada ya hapo naenda push up 50 tu.

Nikimaliza napiga kichura chura mibonyeo 50.

Kisha baada ya hapo nakata tumbo naenda round 50.

Kisha baada ya hapo nanyoosha viungo nakuwa nimetimiza DK 45 za mazoezi.

Sitaki mambo ya gym na mengine naona kujiumiza tu.
Nina uzito wa kilo kama 70 hivi nina imani uzito wangu unanitosha kufanya ndio gym yangu kwa push up.

Hata nikiamka saa mbili sinaga excuse katika mazoezi naenda hivyo hivyo.

Lengo nikipige kama mwezi hivi mfululizo then napumzika siku moja ama mbili.

Spidi yangu kwa KM 4 Ni 2m/s.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Alafu mazoezi bhana katika hizo hesabu zangu nina kauli mbiu yangu moja tuuuuu inayosema

" I DONT START COUNTING UNTIL IT HURTS"
 
Naanzaga kwa mbwembwe mwenyewe .......
 
na hilo ndo zoezi
 
Siwezi kukazana tu kukimbia bila nondo. Naruka kamba mchanganyiko na kichura dakika 20. Napiga nondo,nikiwa mbali na home push up 200. Tumbo 100. Saa nzima imekatika,nimemaliza. Nondo lazima
Nondo ipi hiyo mkuu, ya kutoboa ukuta au kuweka linta kwa nyumba?? [emoji849][emoji849]
 
Vipi kwenye game faida zake zipojee mkuu?

Mana siwezi potezi mda kwa kitu kisichonipa heshima kitandanii
Kwenye game ndo utafurai na roho yako,, tena ukutane na binti ambaye hana mazoezi lazima aombe pooo,,

Mazoez yakinoga hata wiki inaisha sijala mzigo, siku nikila noma sana
 
Hapo sawa.

Nimeanza mazoezi nna siku kama 14 hivi tokea nianze sijapumzika..

Nataka nifikishe mwezi non stop nione mabadiliko yangu kwenye kakitanda[emoji23][emoji23]

Nataka niondoe haka kakitambi kakufutia simu[emoji39][emoji39]
Kwenye game ndo utafurai na roho yako,, tena ukutane na binti ambaye hana mazoezi lazima aombe pooo,,

Mazoez yakinoga hata wiki inaisha sijala mzigo, siku nikila noma sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…