Nimefikisha mwaka 1 kwa kufanya mazOezi bila kunyanyua vitu vizitO,

Nimefikisha mwaka 1 kwa kufanya mazOezi bila kunyanyua vitu vizitO,

Ofisi yetu imenunua vifaa vyote vya mazoezi (mashine ya kukimbia, bicycle, jim, nondo na vikororo kibao plus muziki kwaajili ya aerobic exercises) yaani ni raha hatari.
Hapa ndio natoka huko.
 
Ofisi yetu imenunua vifaa vyote vya mazoezi (mashine ya kukimbia, bicycle, jim, nondo na vikororo kibao plus muziki kwaajili ya aerobic exercises) yaani ni raha hatari.
Hapa ndio natoka huko.
Mbwembwe tu hizo.
Mazoezi na mziki wapi na wapi wewe.

Unakimbia na spika au ni yale ya kuchezesha viungo hapo hapo..?

Yale ya wakina mama tena mabiginers wa mazoezi[emoji3]
 
Mwili au mnara mkuu ndo utakuwa 4G?

Kama ni mwili kivipi unakuwa 4G mkuu?

Alafu sasa hivi sina mda nakuwa nakimbia jioni aisee asubuhi nabanwa sana.

Vipi jioni inasaidia au conki yenyewe ni asubuhi..?
Hata jiona poa, 4G kote kote mkuu,,

Mwili unakuwa uko mzuka yaaan,, uko chap chap,,
 
Na hyo madam ndo formula ninayoitumia napiga push up naamini uzito wangu mwenyewe unatosha kuni challenge wala sihitaji kitu kingine.

Uchurachura ni uzto wangu pia n.k

Vyuma na gym aaah havina mpango dk 45 kwangu kila siku nazitenga kwa ajili ya kuvuja jasho.

Najiskia amani na furaha kwa kweli.
Hasa hasa baada alfajir pale nikienda tizi nikitoka jasho najua jasho linatoka kihalali kwa sababu kutoka jasho kwenye ubaridi ni sacrifice..[emoji3][emoji1]
Mzee we kwako upotevu wa nguvu utasikia kwa jirani tu
 
Hahah upotevu wa nguvu gani mkuu?

Za macho?

Za miguu?

Au nguvu zetu pendwa?
Mwili mzima,, kama hufanyi zoez unaweza kuamka ukajiona mwili mchovu,, au pale usiku unataka kulala lakini usingizi unaona kama sio mzuri, ila kama tizi sanaa hiyo hali huwez ona
 
Ila naskia kichura chira kinapunguza nguvu za kiume na kuongeza makalio hyo ikoje mzee bsba..?
Kichura chura hiyo mie siipigi, ila kuna moja naipiga iko poa sanaa,, yaan inakaza miguu mapaja pamoja na magoti,, iko poa sanaa,,

Ntakutumia ka video uone alafu kesho utesti utaona habari yake
 
Unajua mie na tizi long time sanaa,, ila tokea mwaka jana nikawa makini sitak kuacha zoez, siku nikiacha nahisi kabisa kuna kitu kinapungua
Ni kweli mkuu kama kuna kastress hivi nakapata,yani nikikosa asubuhi basi naenda jioni.

Wife Kuna siku nataka kwenda saa mbili ananikataza huwa namuambia tu "i have no excuse"
 
Kichura chura hiyo mie siipigi, ila kuna moja naipiga iko poa sanaa,, yaan inakaza miguu mapaja pamoja na magoti,, iko poa sanaa,,

Ntakutumia ka video uone alafu kesho utesti utaona habari yake
Tuma mkuu mana hii kichura chura nina mashaka nayo unaweza kufanya unashangaa unamzidi mkeo msambwanda
 
Ni kweli mkuu kama kuna kastress hivi nakapata,yani nikikosa asubuhi basi naenda jioni.

Wife Kuna siku nataka kwenda saa mbili ananikataza huwa namuambia tu "i have no excuse"
Mzee baba, ila uwe unapumzika weekend japo siku moja au mbili, alafu j3 - ijumaa full zoez
 
Yapo tena ni mazuri sana ila huo umbali ni mdogo kidogo inapaswa angalau iwe 4km tembea kwa kasi utaona faida yake
Shida ipo kwa sisi mabonge na vifridge.mimi huwa nafanya ya kutembea kwa kasi nikiwa naends job mana ni 1.5km.ila kuja jamaa alikuja kuniambia kuwa hakuna mazoezi ya kutembea,sijui kuna uhalisia.Ila kwangu yamenisaidia nmepunguza uzito nmekuwa kibonge mwepesi
 
Ila kwa kuanza angalau mtu aruke kama 500 laps kisha ndio aje huku mwili unakuwa umepata moto binafsi napiga aerobic sana na kachuma kidogo kutanua kifua inasaidia
Mimi nature yangu mpana hivyo naogopa sana chuma mana ntakuwa kama watunisha misuli chini kudogo hhahhah..

Laps ndo zipi
 
Back
Top Bottom