Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbwembwe tu hizo.Ofisi yetu imenunua vifaa vyote vya mazoezi (mashine ya kukimbia, bicycle, jim, nondo na vikororo kibao plus muziki kwaajili ya aerobic exercises) yaani ni raha hatari.
Hapa ndio natoka huko.
Hata jiona poa, 4G kote kote mkuu,,Mwili au mnara mkuu ndo utakuwa 4G?
Kama ni mwili kivipi unakuwa 4G mkuu?
Alafu sasa hivi sina mda nakuwa nakimbia jioni aisee asubuhi nabanwa sana.
Vipi jioni inasaidia au conki yenyewe ni asubuhi..?
Mzee we kwako upotevu wa nguvu utasikia kwa jirani tuNa hyo madam ndo formula ninayoitumia napiga push up naamini uzito wangu mwenyewe unatosha kuni challenge wala sihitaji kitu kingine.
Uchurachura ni uzto wangu pia n.k
Vyuma na gym aaah havina mpango dk 45 kwangu kila siku nazitenga kwa ajili ya kuvuja jasho.
Najiskia amani na furaha kwa kweli.
Hasa hasa baada alfajir pale nikienda tizi nikitoka jasho najua jasho linatoka kihalali kwa sababu kutoka jasho kwenye ubaridi ni sacrifice..[emoji3][emoji1]
Kweli mkuu mnara unasoma vizuri tuu mkuuHata jiona poa, 4G kote kote mkuu,,
Mwili unakuwa uko mzuka yaaan,, uko chap chap,,
Hahah upotevu wa nguvu gani mkuu?Mzee we kwako upotevu wa nguvu utasikia kwa jirani tu
Ila naskia kichura chira kinapunguza nguvu za kiume na kuongeza makalio hyo ikoje mzee bsba..?Mzee we kwako upotevu wa nguvu utasikia kwa jirani tu
Unajua mie na tizi long time sanaa,, ila tokea mwaka jana nikawa makini sitak kuacha zoez, siku nikiacha nahisi kabisa kuna kitu kinapunguaKweli mkuu mnara unasoma vizuri tuu mkuu
Mwili mzima,, kama hufanyi zoez unaweza kuamka ukajiona mwili mchovu,, au pale usiku unataka kulala lakini usingizi unaona kama sio mzuri, ila kama tizi sanaa hiyo hali huwez onaHahah upotevu wa nguvu gani mkuu?
Za macho?
Za miguu?
Au nguvu zetu pendwa?
Kichura chura hiyo mie siipigi, ila kuna moja naipiga iko poa sanaa,, yaan inakaza miguu mapaja pamoja na magoti,, iko poa sanaa,,Ila naskia kichura chira kinapunguza nguvu za kiume na kuongeza makalio hyo ikoje mzee bsba..?
Ila kwa kuanza angalau mtu aruke kama 500 laps kisha ndio aje huku mwili unakuwa umepata moto binafsi napiga aerobic sana na kachuma kidogo kutanua kifua inasaidiaJaribuni hayo walau kila siku walau raundi tatu.View attachment 1155030View attachment 1155031View attachment 1155033
Ni kweli mkuu kama kuna kastress hivi nakapata,yani nikikosa asubuhi basi naenda jioni.Unajua mie na tizi long time sanaa,, ila tokea mwaka jana nikawa makini sitak kuacha zoez, siku nikiacha nahisi kabisa kuna kitu kinapungua
Tuma mkuu mana hii kichura chura nina mashaka nayo unaweza kufanya unashangaa unamzidi mkeo msambwandaKichura chura hiyo mie siipigi, ila kuna moja naipiga iko poa sanaa,, yaan inakaza miguu mapaja pamoja na magoti,, iko poa sanaa,,
Ntakutumia ka video uone alafu kesho utesti utaona habari yake
Konki konki sanaIla kwa kuanza angalau mtu aruke kama 500 laps kisha ndio aje huku mwili unakuwa umepata moto binafsi napiga aerobic sana na kachuma kidogo kutanua kifua inasaidia
Mzee baba, ila uwe unapumzika weekend japo siku moja au mbili, alafu j3 - ijumaa full zoezNi kweli mkuu kama kuna kastress hivi nakapata,yani nikikosa asubuhi basi naenda jioni.
Wife Kuna siku nataka kwenda saa mbili ananikataza huwa namuambia tu "i have no excuse"
Sogeza sikio nikunong'oneze dawa yake.Buttocks &thighs
Shida ipo kwa sisi mabonge na vifridge.mimi huwa nafanya ya kutembea kwa kasi nikiwa naends job mana ni 1.5km.ila kuja jamaa alikuja kuniambia kuwa hakuna mazoezi ya kutembea,sijui kuna uhalisia.Ila kwangu yamenisaidia nmepunguza uzito nmekuwa kibonge mwepesi
Ngoja nikutumie mkuu,Tuma mkuu mana hii kichura chura nina mashaka nayo unaweza kufanya unashangaa unamzidi mkeo msambwanda
Mimi nature yangu mpana hivyo naogopa sana chuma mana ntakuwa kama watunisha misuli chini kudogo hhahhah..Ila kwa kuanza angalau mtu aruke kama 500 laps kisha ndio aje huku mwili unakuwa umepata moto binafsi napiga aerobic sana na kachuma kidogo kutanua kifua inasaidia
Sogeza sikio nikunong'oneze dawa yake.