Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Kweny msosi weka na matunda utakuta kiasi cha msosi unachokula kinapungua.Dah..nikifanya zoez najikuta nakula plate 2..bas najikuta naacha
Tikitimaji, ndizi, parachichi, papai, embe N.K jaribu uone.