Nimefikisha mwaka 1 kwa kufanya mazOezi bila kunyanyua vitu vizitO,

Hapo sawa.

Nimeanza mazoezi nna siku kama 14 hivi tokea nianze sijapumzika..

Nataka nifikishe mwezi non stop nione mabadiliko yangu kwenye kakitanda[emoji23][emoji23]

Nataka niondoe haka kakitambi kakufutia simu[emoji39][emoji39]
Nlianza ivo mwaka jana mdogo mdogo,, shem wako anasema punguza mazoezi utaniua,,, namwambia nakuua kimapenz,,

Mzee baba hutojuta,,, yaaan
 
Mzee baba safi,,

Pia tafuta karanga hizi zinasaidia kulainisha katika maungio (glisi)

Unatafuna walau ujazo wa mkono mmoja,, then shushia na maji ya vugu vugu au hata baridi,,

Yaaan we kwako mafua hutayasikia pia utaona mwili uko 4G
 
Kuna juzi kati nkatiza kitaa et ananivizia anikwapua phone ila nilimstukia nikasimama,, akapita alafu mm nikawa nyuma yake alivosimama na mimi nikasimama,, ooh nikaona anazuga kunipa hi, nikamjibu poa
 
Ni kweli mazoezi ni kitu chenye manufaa mengi na kizuri sana kwa afya ya binadam na hayahitaji kitu kizito, mwili wenyewe ni uzito tosha.
Kabisa,, faida ni nyanga sana,,

Mazoezi yawe sehemu ya maisha yetu kila siku,,

Faida nyingi mno
 
Ndo ufanye sasa,,

Itakusaidia sanaa,, magonjwa yatakupitia mbali kama ya kuumwa na kichwa+ mafua+ kujiskia hovyo,, tena kama mwenzio sio mtu wa mazoezi utampeleka mno [emoji1]


πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚..mie daily natembea sana..hahahanna route nying nyingi..!kwingine unacheza na beat tu
 
Mwili au mnara mkuu ndo utakuwa 4G?

Kama ni mwili kivipi unakuwa 4G mkuu?

Alafu sasa hivi sina mda nakuwa nakimbia jioni aisee asubuhi nabanwa sana.

Vipi jioni inasaidia au conki yenyewe ni asubuhi..?
Mzee baba safi,,

Pia tafuta karanga hizi zinasaidia kulainisha katika maungio (glisi)

Unatafuna walau ujazo wa mkono mmoja,, then shushia na maji ya vugu vugu au hata baridi,,

Yaaan we kwako mafua hutayasikia pia utaona mwili uko 4G
 
Ni kweli mazoezi ni kitu chenye manufaa mengi na kizuri sana kwa afya ya binadam na hayahitaji kitu kizito, mwili wenyewe ni uzito tosha.
Na hyo madam ndo formula ninayoitumia napiga push up naamini uzito wangu mwenyewe unatosha kuni challenge wala sihitaji kitu kingine.

Uchurachura ni uzto wangu pia n.k

Vyuma na gym aaah havina mpango dk 45 kwangu kila siku nazitenga kwa ajili ya kuvuja jasho.

Najiskia amani na furaha kwa kweli.
Hasa hasa baada alfajir pale nikienda tizi nikitoka jasho najua jasho linatoka kihalali kwa sababu kutoka jasho kwenye ubaridi ni sacrifice..[emoji3][emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…