Nimefikisha mwaka 1 kwa kufanya mazOezi bila kunyanyua vitu vizitO,

Nimefikisha mwaka 1 kwa kufanya mazOezi bila kunyanyua vitu vizitO,

Hapo sawa.

Nimeanza mazoezi nna siku kama 14 hivi tokea nianze sijapumzika..

Nataka nifikishe mwezi non stop nione mabadiliko yangu kwenye kakitanda[emoji23][emoji23]

Nataka niondoe haka kakitambi kakufutia simu[emoji39][emoji39]
Nlianza ivo mwaka jana mdogo mdogo,, shem wako anasema punguza mazoezi utaniua,,, namwambia nakuua kimapenz,,

Mzee baba hutojuta,,, yaaan
 
Mimi kila siku nakimbia 4KM nikirudi napiga sprint round 5 kila round inachukua urefu wa 50m.

Then baada ya hapo naruka kamba miruko 100 ile ya fasta fasta huku jasho likizidi kuchemka.

Kisha baada ya hapo naenda push up 50 tu.

Nikimaliza napiga kichura chura mibonyeo 50.

Kisha baada ya hapo nakata tumbo naenda round 50.

Kisha baada ya hapo nanyoosha viungo nakuwa nimetimiza DK 45 za mazoezi.

Sitaki mambo ya gym na mengine naona kujiumiza tu.
Nina uzito wa kilo kama 70 hivi nina imani uzito wangu unanitosha kufanya ndio gym yangu kwa push up.

Hata nikiamka saa mbili sinaga excuse katika mazoezi naenda hivyo hivyo.

Lengo nikipige kama mwezi hivi mfululizo then napumzika siku moja ama mbili.

Spidi yangu kwa KM 4 Ni 2m/s.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Alafu mazoezi bhana katika hizo hesabu zangu nina kauli mbiu yangu moja tuuuuu inayosema

" I DONT START COUNTING UNTIL IT HURTS"
Mzee baba safi,,

Pia tafuta karanga hizi zinasaidia kulainisha katika maungio (glisi)

Unatafuna walau ujazo wa mkono mmoja,, then shushia na maji ya vugu vugu au hata baridi,,

Yaaan we kwako mafua hutayasikia pia utaona mwili uko 4G
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]...!ahahaaaaa...! “wakishakabika vyema“. Nikuambie. Wengi wa wale wakabaji ni wavivu ndio maana wanakaba. Nikizungumzia wavivu,maana yake hata mazoezi hawafanyi. Mazoezi yanahitaji moyo,mtu anaejituma,mtu mwenye maamuzi. Hao wakabaji wengi ni laini sana ukimvimbishia,wengi wanategemea tu-visu. Wanye kuamua kwa usahihi kufanya mazoezi wengi wao nimeona wanajiweza hata kwa kuanzia kiwango cha kati kiuchumi. Kwa hiyo hawana shida ya kukukaba
Kuna juzi kati nkatiza kitaa et ananivizia anikwapua phone ila nilimstukia nikasimama,, akapita alafu mm nikawa nyuma yake alivosimama na mimi nikasimama,, ooh nikaona anazuga kunipa hi, nikamjibu poa
 
Ni kweli mazoezi ni kitu chenye manufaa mengi na kizuri sana kwa afya ya binadam na hayahitaji kitu kizito, mwili wenyewe ni uzito tosha.
Kabisa,, faida ni nyanga sana,,

Mazoezi yawe sehemu ya maisha yetu kila siku,,

Faida nyingi mno
 
Ndo ufanye sasa,,

Itakusaidia sanaa,, magonjwa yatakupitia mbali kama ya kuumwa na kichwa+ mafua+ kujiskia hovyo,, tena kama mwenzio sio mtu wa mazoezi utampeleka mno [emoji1]


😂😂😂..mie daily natembea sana..hahahanna route nying nyingi..!kwingine unacheza na beat tu
 
Mwili au mnara mkuu ndo utakuwa 4G?

Kama ni mwili kivipi unakuwa 4G mkuu?

Alafu sasa hivi sina mda nakuwa nakimbia jioni aisee asubuhi nabanwa sana.

Vipi jioni inasaidia au conki yenyewe ni asubuhi..?
Mzee baba safi,,

Pia tafuta karanga hizi zinasaidia kulainisha katika maungio (glisi)

Unatafuna walau ujazo wa mkono mmoja,, then shushia na maji ya vugu vugu au hata baridi,,

Yaaan we kwako mafua hutayasikia pia utaona mwili uko 4G
 
Ni kweli mazoezi ni kitu chenye manufaa mengi na kizuri sana kwa afya ya binadam na hayahitaji kitu kizito, mwili wenyewe ni uzito tosha.
Na hyo madam ndo formula ninayoitumia napiga push up naamini uzito wangu mwenyewe unatosha kuni challenge wala sihitaji kitu kingine.

Uchurachura ni uzto wangu pia n.k

Vyuma na gym aaah havina mpango dk 45 kwangu kila siku nazitenga kwa ajili ya kuvuja jasho.

Najiskia amani na furaha kwa kweli.
Hasa hasa baada alfajir pale nikienda tizi nikitoka jasho najua jasho linatoka kihalali kwa sababu kutoka jasho kwenye ubaridi ni sacrifice..[emoji3][emoji1]
 
Back
Top Bottom