Nimefikisha mwaka 1 kwa kufanya mazOezi bila kunyanyua vitu vizitO,

Mi nafanya mazoezi naacha nafanya naacha!
Niliwahi toka kilo 137 mpk 92.
kwa tizi na diets.
nikazinguaaa kama mwaka hivi nilipata complications za kiafya!
Nimeanza tena July 01, japo nimekaa muda mrefu almost a year bila kufanya any diets wala mazoezi.
Namshukuru Mungu sijarudi kwenye makilo hayo tena.
am 107 Now, nimeweka target ya 80 by DEC.
najua ninaweza kufika!
Nina curves ila zimekaa kijinga jinga nataka nizinyooshe!
sina tumbo hicvyo ila halijakaa vizuri nataka nilimalize!
kisha nimentain.

STRATEGY ZANGU NI
5 LITRES ZA MAJI KILA SIKU. (nayaweka herbs kama alovera, tangawizi, au nayamix na ukwaju, au siku limao au machungwa ndo inakuwa maji yangu kila siku )
NAFANYA CARDIO DANCES 15 MINS(ASBH NA JIONI)
NAFANYA CARDIO WORKOUTS 30 MINS(ASBH NA JIONI)
NAFANYA HEALTHY EATING WIKI MBILI
NAFANYA CRUSH DIET WIKI MOJA.
NAFANYA LIQUID DIET WIKI MOJA.
NALALA MAPEMA
NAAMKA MAPEMA
 
Safi sanaaa, nazoez ni afya snowhite
 

Kilo 107 Aisee
 
Kichura chura hiyo mie siipigi, ila kuna moja naipiga iko poa sanaa,, yaan inakaza miguu mapaja pamoja na magoti,, iko poa sanaa,,

Ntakutumia ka video uone alafu kesho utesti utaona habari yake
Mkuu tuma kwanza hiyo kituuu mbona kimyaa....?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…