Nimefikisha mwaka 1 kwa kufanya mazOezi bila kunyanyua vitu vizitO,

Faida ni nyingi sanaaa,

Nasisitiza fanyeni mazOezi,

Mazoezi ya kisanii hayo unakwepa majukumu!

Lazima unyanyue uzito wa kutosha na sio utani utani!

Unagonga 10reps kwa 10rounds na uzito una-change kutoka 40-100 each weight shift

Sio tunazugana na vizoezi vya kupasha!

Hayo unayofanya infact ni kupasha...

Mazoezi ni not less than 1 hour kwenye weights bay

Hayo unayosemea nilishafanya nikaona ni kujidanganya tu in reality!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…