Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Hahahaa halipepesagi macho.lile limlinzi..nawazaga nzi akitua puani🤔Sawa mkuu. Niko makini kama mlinzi wa dr John
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaa halipepesagi macho.lile limlinzi..nawazaga nzi akitua puani🤔Sawa mkuu. Niko makini kama mlinzi wa dr John
Faida ni nyingi sanaaa,
Nasisitiza fanyeni mazOezi,
Nakutumia usijaliMkuu tuma kwanza hiyo kituuu mbona kimyaa....?
ni ke au me? una urefu cm au fut ngap?SIO NZURI YES!
but ukisoma vizuri comment yangu nilishaweza kutoa kilo zaidi ya 40 kwa diets na mazoezi tu!
hujaona hilo?
Keni ke au me? una urefu cm au fut ngap?
Alipitia zoez kali la kukodolea macho sanamu kabla hajaletwa kumlinda Rais wao.Hahahaa halipepesagi macho.lile limlinzi..nawazaga nzi akitua puani🤔
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji28][emoji28]Nyumba ndogo yangu huyo
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
itabidi ni postpone lile zoezi la kukunong'oneza yasije yakanikuta yaliyomkuta dada Naomi.
Mkuu natuma lakini inaniambia iko large size, tunafanyaje sasaMkuu tuma kwanza hiyo kituuu mbona kimyaa....?
mh, kwa kilo hizo utakuwa chibongeKe
158cm
Kwani umeipata wapi mkuu yputube au..?Mkuu natuma lakini inaniambia iko large size, tunafanyaje sasa
YoubtubeKwani umeipata wapi mkuu yputube au..?
Ebu tuma PM mkuu
Dawa yake kumvimbisha bus......a[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Sema nyumba ndogò yangu@Cole Williams inakaba had penalty[emoji23][emoji23]dadeq
Cole Williams
Youbtube
😂😂😂😂..namuoneaga huruma mpole mwenyewe hahahaDawa yake kumvimbisha bus......a
Youbtube
Mimi nature yangu mpana hivyo naogopa sana chuma mana ntakuwa kama watunisha misuli chini kudogo hhahhah..
Laps ndo zipi
Yas kabisa kabisa..Mizunguko ya kamba ile unarukaruka
Mkuu ntakutumia link PM,,Kama You tube weka link tuu.
haina mbaya mkuuMkuu ntakutumia link PM,,