Nimefiwa na BABA Yangu Mzazi

Nimefiwa na BABA Yangu Mzazi

Pole sana X- Paster

Mwenyezi Mungu amrehemu na kumpa wepesi siku ya hisabu.

Tuko pamoja.
 
Ndugu na rafiki yangu,
pole sana kwa kuondokewa na baba kipenzi.
Mungu akupe nguvu na faraja ktk kipindi hiki kizito.
 
Nachelea kukupa pole Ndg, kwani yeye ULIYEMPENDA amechukulilwa na yule ALIYEMLETA, nayo basi imekuwa HERI kwa sababu kwake yeye atapata PUMZIKO la moyo, naye atapata kusema naye kwa karibu ili kutupatia sisi wapendwa wake AMANI ya duniani. REST IN PEACE OUR BELOVED FATHER!
 
Back
Top Bottom