Habari za wakati huu ndugu zangu week jana iliyopita nilipata pigo baada ya kuondokewa na Bibi Yangu Na Leo Jumamosi Tar 26 Tumempumzisha Bibi Salama Katika makazi ya Milele
Raha ya Milele umpe eeh Bwana na Mwanga wa milele Umwangazie Aminašš
Raha ya Milele umpe eeh Bwana na Mwanga wa milele Umwangazie Aminašš