Nimefiwa na Bibi Na Leo Tumempumzisha salama

Ingoko

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2022
Posts
4,081
Reaction score
6,367
Habari za wakati huu ndugu zangu week jana iliyopita nilipata pigo baada ya kuondokewa na Bibi Yangu Na Leo Jumamosi Tar 26 Tumempumzisha Bibi Salama Katika makazi ya Milele

Raha ya Milele umpe eeh Bwana na Mwanga wa milele Umwangazie Amina๐Ÿ™๐Ÿ˜”
 
Pole sana kwa huo msiba wa Bibi yako. Mungu mwenye huruma amjalie pumziko jema la milele maana katika uhai wake alimtegemea Mungu wake.

Mungu awajalieni moyo mkuu wa kuyapokea mapenzi yake kwa moyo wa imani na unyenyekevu jambo hilo lililogumu kuliko yote kwa mwanadamu yeyote. Poleni sana. Mwanga wa milele umpe Ee Bwana, na Raha ya milele umjalie buyo marehemu na marehemu wote. Wastarehe kwa amani.
 
Apumzike kwa Amani.

Amina,pole sana kwa msiba mkuu Msumb
 
Amina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ