Nimefiwa na Mama Mzazi

Nimefiwa na Mama Mzazi

Pole sana na nakuombea nguvu za kukabiliana na kifo cha mama
 
Mimi huwa nashangaa watu kulike hata tangazo la msiba. Maana yake nini? Pole mkuu. Mungu akupe nguvu kipindi hichi kigumu
wanafanya hivyo kwa kuwa hakuna ki batton mbadala na 'like' inakwenda moja kwa moja kwenye inbox ya mhusika na kumpa attention kuwa flan kanisoma.Ujue mwanzisha thread sio lazima asome post zote lakini 'like' zote ataziona.
Pole sana XP,kazi ya Mungu haina makosa,sote ni wa Mola na kwake tutarejea.
 
Pole sana kiongozi mstaafu. Mungu ampumzishe mama yetu mpendwa mahala pema peponi. Amen
 
RIP MAMA!
Pole sana mkuu, Mungu akupe nguvu katika kipindi hiki kigumu.
Yote ni mapenzi ya Mungu.
 
pole sana Mungu akutie nguvu katika hili mpendwa.
 
pumzika mama yake x-paster ....mungu akupe pumziko la milele tutakutana paradiso
 
Back
Top Bottom