Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wanafanya hivyo kwa kuwa hakuna ki batton mbadala na 'like' inakwenda moja kwa moja kwenye inbox ya mhusika na kumpa attention kuwa flan kanisoma.Ujue mwanzisha thread sio lazima asome post zote lakini 'like' zote ataziona.Mimi huwa nashangaa watu kulike hata tangazo la msiba. Maana yake nini? Pole mkuu. Mungu akupe nguvu kipindi hichi kigumu