Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana mkuu.Mkuu pole sana kwa matatizo . Mungu awape nguvu kipindi hichi kigumu . R.I.P MAMA .
Innalillah wainna ilayhi raajiun.[FONT=century
gothic]Assalamu
Alaikum[/FONT]
Admins, Moderators na
members wote wa Jamiiforums
Kwa masikitiko makubwa
nawataarifu msiba wa Mama yangu Mzazi, amefariki usiku wa kuamkia leo,
na Insha'Allah maziko yatafanyika leo jioni.
___
Ewe Mwenyezi Mungu
msamehe Mama yangu na ipandishe daraja yake katika walioongoka, na weka
badili yake kwa aliyowacha nyuma na utusamehe sisi na yeye ewe Mola wa
viumbe vyote na umkunjulie yeye katika kaburi lake na umtilie mwangaza
ndani yake[FONT=century
gothic]
[/FONT]
Sisi ni wa Allaah
nasi Kwake tutarejea, Ee Allaah Utulipe wafiwa kwa msiba huu na utupe
badili yake bora kuliko huo na utukutanishe tena peponi
Insha'Allah
"Inna lillahi wa inna ilayhi raaji'un""Sisi ni wa Allaah nasi Kwake tutarejea, Ee Allaah Utulipe wafiwa kwa msiba huu na utupe badili yake bora kuliko huo na utukutanishe tena peponi Insha'Allah"