mkonomtupu
JF-Expert Member
- Jul 5, 2011
- 441
- 118
Wakuu nimefiwa na mama yangu mzazi aliyekuwa mgonjwa wa kitandani(bedridden) kwa muda wa mwaka na nusu.
He died years before.Pole sana man be close wit ur baba! Msiba usikie kwa jirani tuuuuu
Wakuu naishi Upanga mtaa wa Mindu plot 480 kutakuwa na lunch Jumatatu saa saba na nusu(siku ya tatu)wote mnakaribishwa sana.