Nimefiwa na Mama yangu usiku wa kuamkia 19.11.2011 na kuzika jana.

Mkuu, pole sana, Mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu cha majonzi, sote ni njia yetu, yeye ametangulia,
R.I.P Mama.
 
Pole sana mkuu, Mungu akutie nguvu.
 
Pole sana mkuu.Mungu akupe nguvu katika kipindi hiki kigumu.
 
Wakuu nimefiwa na mama yangu mzazi aliyekuwa mgonjwa wa kitandani(bedridden) kwa muda wa mwaka na nusu.
Pole sana mkuu, mungu akupe nguvu katika kipindi hiki kigumu cha msiba wa mama. Pole sana! HAKUNA KAMA MAMA ila haya yaliyotokea mungu ndie amepanga. Sote tu wasafiri ila tunaachana siku na masaa tu!
 
Asanteni sana wapendwa nashukuru kwa kunipa faraja,mbarikiwe.
 
Pole mkuu...
Ndo hitimisho la maisha ya binadam....
 
Pole sana kwa msiba mzito namna hii, nakuombea faraja ya Mungu aliye juu akuinue wewe na familia yako katika kipindi hiki cha upweke mkuu. RIP mama Uporoto01!
 
Pole sana kaka yangu kipenzi.
Pumzika kwa Amani Mama yetu Mpendwa,
Mola akupe Amani katika kipindi hiki kigumu.

 
mungu iweke mahali pema roho ya marehem Amini
UPOROTO pole sana nakuombe faraja na ujasiri kwa kutokwa na mamayetu mpendwa
 
Mkuu pole sana!

Mungu amrehemu mama yetu mpendwa.
 
Pole sana Uporoto,Mungu akutie nguvu na kuwafariji wewe na familia yako.
 
Pole sana.
Mshukuru Mungu kama tunavyofundishwa na neno lake.
Mama apumnzike kwa amani.
 
Bwana ametoa bwana ametwaa. Jina la bwana lihimidiwe!
 
Mkuu pole, na poleni sana. Bwana akutie nguvu ktk wakati huu mgumu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…