Bongo Pix Blog
JF-Expert Member
- Sep 13, 2011
- 213
- 33
Mkuu, pole sana, Mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu cha majonzi, sote ni njia yetu, yeye ametangulia,
R.I.P Mama.
R.I.P Mama.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana mkuu, mungu akupe nguvu katika kipindi hiki kigumu cha msiba wa mama. Pole sana! HAKUNA KAMA MAMA ila haya yaliyotokea mungu ndie amepanga. Sote tu wasafiri ila tunaachana siku na masaa tu!Wakuu nimefiwa na mama yangu mzazi aliyekuwa mgonjwa wa kitandani(bedridden) kwa muda wa mwaka na nusu.