Nimefiwa na Mama yangu usiku wa kuamkia 19.11.2011 na kuzika jana.

Nimefiwa na Mama yangu usiku wa kuamkia 19.11.2011 na kuzika jana.

pole sana.....
Inna lillahi wa inna ilaihi raji'un
 
Pole sana kwa kufiwa mpendwa Mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu
 
Pole sana mtani wangu Uporoto01,
MUNGU akupe subra wakati huu mgumu,
pia aiweke roho ya mama yetu mahali pema sana peponi.
 
Pole sana ndugu yetu, mungu akujalie nguvu ktk kipind hiki cha mapito
 
pole sana mkuu
M/Mungu awape nguvu kipindi hiki kigumu
awajalie faraja
...Roho ya marehemu mama yetu ipate rehema kwa Mungu apumzike kwa amani. Amina
 
Mkuu Pole Sana! Mungu akutie nguvu katika wakati huu mgumu. Faraja ya kweli yatoka kwa Mungu hivyo mtegemee yeye. Naujua Uchungu wa kuondokewa na MAMA! Pole sana
 
Pole sana...Mungu amlaze mahali pema peponi na mwanga wa milele amwangazie!
 
My dear Uporoto1, pole kwa msiba wa mama. Mola akupe nguvu katika kipindi hiki. Apumzike kwa amani, Amen!

Pole sana rafiki yangu.
 
Pole sana mkubwa, Mungu akupe nguu na uvumilivu.
 
Pole sana! Mungu awapeni nguvu katika kipindi hiki kigumu! May Her soul rest in peace!
 
Jamani kifo ni kibaya sana kwani kinatutenganisha na wapendwa wetu.
R.I.P mumy we realy love and pray for you!
 
pole sana mkuu, mungu akutie nguvu kwenye kipindi hiki kigumu.
 
Pole sana,Mwenyezi Mungu akupe faraja katika kipindi hiki kigumu.
 
Innalillah waina illah rajiuna, pole sana ndugu yangu pia Mola akupe nguvu katika iki kipindi iki kigumu. iyo ni mipango yake manani, let our almighty God lay her soul in peace, aamen
 
Back
Top Bottom