Nimefiwa na mtoto jana muhimbili!

Pole sana Spika,Mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu,akupe faraja.
 
Pole sana mkuu, natambua wakati mgumu ulionao lakini Mungu wako akupe faraja.
 
Mungu awe na wewe katika kipindi hiki kigumu
 
Ndg Spika, pole kwa msiba Mungu akupeni faraja wewe na familia yako katika kipindi hiki kigumu. Iwe imara na mioyo mikuuu mkifarijiana ninyi kwa ninyi maana
hayo ni mapenzi ya Mola wetu.





Habari wana




JF,nimefiwa na mtoto jana Muhimbili hospital.
Mazishi ni leo saa7 mchana,msiba upo banana ukonga!
 
Pole mkuu . Mungu akupe faraja kutoka kwake.
 
Pole sana mkuu. May his soul rest in Peace. Amen.
 
Pole sn mkuu. M.Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu. Hakika sisi ni wa Allah na kwakw tutarejea.
 
Pole sana. Mwenyezi Mungu awape faraja.
 
Pole sana mkuu.Mungu akupe nguvu kukabiliana na huu wakati mgumu.
 
Pole sana mkuu.Ni kumwomba mungu tu kwa wakati huu mgumu mlionao
 
ndg.spika unapitia kipindi kigumu ktk maisha,mtoto ni zawadi ila muumba kaichukua.ninakupa pole ya dhati ndugu yangu nakuombea mwenyezi mungu akupe moyo wa uvumilivu na utulivu ktk kipindi hiki kgumu kwako.nimeipokea kwa masikitiko makubwa taarifa hii kama mzazi ninaejua uzuri wa watoto ktk kaya.mungu akutie nguvu!!
 
Pole sana spika!
Mungu akupe nguvu katika kipindi hiki kigumu!
 
Pole kaka, Mungu na apoze maumivu ya moyo uliyonayo muda huu.
 
"Sisi sote ni wa Mungu na hakika kwake tu ndio marejeo yetu."
MwenyeziMungu atakutieni nguvu katika kipindi hiki cha majonzi.
Poleni sana na muwe wavumilivu na kumshukuru Mungu kwa yote.
 
pole sana mkuu,Mungu azidi kukupa nguvu na faraja wakati huu mgumu ulionao!
 
Pole sana Spika!

Najua una wakati mgumu sana,lakini hakika tuna MUNGU mwenye kufariji daima!

MTOTO ALALE KWA AMANI YA BWANA WETU!
 
Mungu akuongoze katika kipindi hiki kigumu cha majonzi ya kuondokewa na mpendwa wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…