Nimefiwa na mtoto jana muhimbili!

Nimefiwa na mtoto jana muhimbili!

Pole sana kwako na wote walioguswa na msiba wa mwanao. Faraja ya MUNGU ikawe nanyi katika kipindi hiki kigumu.
 
Pole sana Mh. Spika, Mungu akujaze Nguvu na pia Roho ya Mtoto wako ilale mahali pema peponi.
 
Pole sana kwa msiba ndugu yangu.Mungu akutie nguvu wewe na familia yako.
 
Mazishi ni saa 10 alasiri maana baadhi ya ndugu wanatoka mikoani!!!
Kwahiyo mazishi ni saa10 alasiri pale banana kipunguni "a".
 
pole sana ndugu yetu Mungu akupe nguvu kwenye hiki kipindi kigumu
 
Pole sana , Mungu akupe nguvu na faraja katika kipindi hiki kigumu. Tupo pamoja
 
Pole sana,nawasihi wana jf mlio karibu na hapo dar mfike mkatuwakilishe
 
Lol pole sana mkuu,shetani mbaya sana!anatuchukulia mpiganaji wetu mtarajiwa ktk umri mdogo!too sad lkn jipe moyo!
 
Pole sana kiongozi, sisi tulimpenda ila Mungu amempenda zaidi
 
pole sana mkuu. Bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe. Mwenyezi Mungu akupe nguvu ya kuhimidi msiba huu mzito. Amen
 
Too sad! pole sana mkuu, mungu awape nguvu ya kukabiliana na simanzi hili! RIP mtoto.
 
Back
Top Bottom