Nimefiwa na mtoto jana muhimbili!

Nimefiwa na mtoto jana muhimbili!

Poleni sana kwa kufiwa na mtoto.mungu ndiye mfariji pekee.
 
Pole sana kamanda mungu akuongezee kamanda mwingine jitahidi ule mboga za majani sana
 
Pole sana mkuu, mungu aiweke roho ya marehemu pema peponi
 
Raha ya milele umpe eee bwana! na mwanga wa milele u mwangazie! Apumzike kwa amani! AMINA. Pole sana kiranja!
 
pole sana mkuu
alale kwa amani
 
Poleni sana Spika na familia yako.
Inshallah Mwenyezi Mungu awape subira na awafanyie wepesi
 
Poleni sana familia nzima ya Spika. Yote ni mapenzi ya Mungu. Tunamuomba Mungu mwenyewe awape faraja katika kipindi hiki kigumu. Bwana Ametoa, Bwana Ametwaa, Jina la Bwana Lihimidiwe! Apumzike kwa Amani!
 
pole sana Spika Mungu akupe nguvu katika kipindi hiki kigumu.
 
Aisee pole sana Mkuu Spika. Mungu awaangazie fadhila zake.
 
Back
Top Bottom