Nimefiwa na mtoto jana muhimbili!

pole sana kwa msiba,
mungu awape uvumilivu katika kipindi hiki kigumu
 
pole sana Mungu akufarij katika kipindi hiki kigumu,bwana ametoa na bwana ametwaa jina la bwana libarikiwe Amen.
 
Pole sana kiongozi.Mungu akupe nguvu katika muda huu mgumu kwako!
 
Pole sana Ndugu..... Mungu ailaze roho ya Marehemu Mahali pema na Peponi. Amina
 
Pole sana. Mungu awape nguvu katika kipindi hiki kigumu. Roho za Marehemu wapate Rehema kwa Mungu na Wapumzike kwa Amani. Amina
 
Habari wana JF,nimefiwa na mtoto jana Muhimbili hospital.
Mazishi ni leo saa7 mchana,msiba upo banana ukonga!
RPI mtoto wetu! Mungu akujalie faraja katika kipindi hiki kigumu...Amen...
 
Pole sana mkuu wangu kwa kufiwa na mtoto wako.
 
Inna lilahi wa inna illahi rajjun. Mungu akupe nguvu ya kushinda ugumu wa kipindi hichi. be strong, God has a wonderful plan for each of us, mwanao alimaliza ya kwake na amerudi kwa Muumba.
 
Pole sana spika.


Bwana ametoa, bwana ametwaa
Jina la bwana lihimidiwe!


RIP mtoto wa spika!
 
pole sana mzee,mungu ndio mwenye kuumba na kuchukua.mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. aaaaaaaaaaaaaamen
 
Pole sana mkuu, mungu akupe akupe nguvu wewe na wanafamilia wote hasa kipindi hiki kigumu na cha huzuni.
 
Pole sana, Mungu awatieni nguvu katika kipindi hiki kigumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…