Nimefiwa na mtoto jana muhimbili!

Nimefiwa na mtoto jana muhimbili!

pole sana. kati ya vitu vinavyo uma zaidi hapa duniani ni mzazi kimzika mtoto wake. pole sana ndugu
 
pole sana spika for the loss of your beloved precious..mungu amuweke pema peponi..bahati mbaya leo nimekuja tanga sitoweza kuhudhuria
 
Pole sana mkuu, mungu akupe ustahamilivu wakati huu mgumu sana
 
Pole sana Kamanda, Mungu akufariji kipindi hiki kigumu
 
Pole sana kaka. Mungu akutie nguvu. apumzike kwa amani kijana wetu. amen
 
pole sana,Inshallah mwenyezi Mungu akupe moyo wa subra mpe pole mama wa mtoto...
 
pole sasna mkuu, Mungu akujaalieni faraja na utulivu wakati wote wa mazishi na maombolezo!
 
Habari wana JF,nimefiwa na mtoto jana Muhimbili hospital.
Mazishi ni leo saa7 mchana,msiba upo banana ukonga!

spika,pole sana kwa masahibu yaliyokukuta.
Hakika una wakati mgumu katika kipindi hiki cha msiba wa mwanao mpendwa.tumuombe mungu akupe moyo na ujasiri wa kukabiliana na hali hii.lakini pia tumuombee marehemu aweze kupokelewa vema mbinguni kwa pumziko lake la milele,
amen!
 
Pole sana ndugu kwa msiba huo Mkubwa

Mungu awafariji na kuwaongoza ktk kipindi hiki kigumu cha Majonzi

Poleni Sana wote
 
Pole sana mkuu. Mungu akupe nguvu ktk kipindi hiki kigumu
 
Pole Mkuu, may his/her soul rest in peace.
 
Back
Top Bottom