Nimefuatilia kauli za Mwigulu kwenye majukwaa anayohutubia nimepata mashaka

Mishi Zawa

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2015
Posts
1,673
Reaction score
2,575
97238.jpg

Wakuu, habari. Mimi nimefuatilia kauli za huyu bwana kwenye majukwaa anayohutubia nimepata mashaka na afya yake ya akili.

Maana anaropoka vitu asivyo na ushahidi navyo na ambavyo haviwezekaniki kufanyika. Maana kama CDM wangefanya hayo, naapa hakuna rangi wangeacha kuona.

Kwanza CHADEMA wangekua wameshafungiwa au kufutwa kabisa kwenye uso wa dunia. Nachelea kusema huyu bwana kuna pearameta kichwani kwake haiko within acceptable standard, sio bure hakya mungu.
 
View attachment 3621568
Wakuu, habari. Mimi nimefuatilia kauli za huyu bwana kwenye majukwaa anayohutubia nimepata mashaka na afya yake ya akili. Maana anaropoka vitu asivyo na ushahidi navyo na ambavyo haviwezekaniki kufanyika. Maana kama CDM wangefanya hayo, naapa hakuna rangi wangeacha kuona. Kwanza CDM wangekua wameshafungiwa au kufutwa kabisa kwenye uso wa dunia. Nachelea kusema huyu bwana kuna pearameta kichwani kwake haiko within acceptable standard, sio bure hakya mungu.
Tanzania tumejaaliwa waziri mkuu mkweli na asie pepesa macho wala kumung'unya maneno kwenye kusema ukweli.

well done Dr.Mwigulu Nchemba.
Kama taifa, tunakuunga mkono na tupo tayari kulinda taifa letu kwa nguvu na gharama yoyote ile 🐒
 
View attachment 3621568
Wakuu, habari. Mimi nimefuatilia kauli za huyu bwana kwenye majukwaa anayohutubia nimepata mashaka na afya yake ya akili. Maana anaropoka vitu asivyo na ushahidi navyo na ambavyo haviwezekaniki kufanyika. Maana kama CDM wangefanya hayo, naapa hakuna rangi wangeacha kuona. Kwanza CDM wangekua wameshafungiwa au kufutwa kabisa kwenye uso wa dunia. Nachelea kusema huyu bwana kuna pearameta kichwani kwake haiko within acceptable standard, sio bure hakya mungu.
Ukiwa chichiem lazima dish liyumbe.
 
Huyo anaumwa Apaedomia,ugonjwa wa unyani
 
Mtu yeyote aliyebobea katika uwongo na unafiki, ni lazima aonekane kuwa na tatizo la akili kwa wote wenye akili timamu.

Huyu mtu amevuka hata kiwango cha uwongo. Muda si mrefu, atakuwa ni mtu anayedharaulika kuliko mtu yeyote nchini! Amekuwa mropokaji wa kiwango ambacho hakijawahi kushuhudiwa kwa kiongozi yeyote wa daraja lolote. Sijui anapata faida gani kwa kuwa mtu wa ajabu kiwango hiki!!
 
Back
Top Bottom