Mishi Zawa
JF-Expert Member
- May 6, 2015
- 1,673
- 2,575
Tanzania tumejaaliwa waziri mkuu mkweli na asie pepesa macho wala kumung'unya maneno kwenye kusema ukweli.View attachment 3621568
Wakuu, habari. Mimi nimefuatilia kauli za huyu bwana kwenye majukwaa anayohutubia nimepata mashaka na afya yake ya akili. Maana anaropoka vitu asivyo na ushahidi navyo na ambavyo haviwezekaniki kufanyika. Maana kama CDM wangefanya hayo, naapa hakuna rangi wangeacha kuona. Kwanza CDM wangekua wameshafungiwa au kufutwa kabisa kwenye uso wa dunia. Nachelea kusema huyu bwana kuna pearameta kichwani kwake haiko within acceptable standard, sio bure hakya mungu.
Ukiwa chichiem lazima dish liyumbe.View attachment 3621568
Wakuu, habari. Mimi nimefuatilia kauli za huyu bwana kwenye majukwaa anayohutubia nimepata mashaka na afya yake ya akili. Maana anaropoka vitu asivyo na ushahidi navyo na ambavyo haviwezekaniki kufanyika. Maana kama CDM wangefanya hayo, naapa hakuna rangi wangeacha kuona. Kwanza CDM wangekua wameshafungiwa au kufutwa kabisa kwenye uso wa dunia. Nachelea kusema huyu bwana kuna pearameta kichwani kwake haiko within acceptable standard, sio bure hakya mungu.
Hakika.Ukiwa chichiem lazima dish liyumbe.
Huyo anaumwa Apaedomia,ugonjwa wa unyaniView attachment 3621568