Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Mazengaombwe wakati majumba, magari yao yanaoneshwa kabisa You Tube?Usilolijua. Mazingaombwe Yale.
Sijaelewa kwamba Rais wa Nigeria ana sperms na pesa mara 5 kuliko JPM???JIBU NI RAIS NIGERIA INA POPOLATION NA UCHUMI MKUBWA MARA 5 YA TANZANIA
POPOLATION
Mheshimiwa Ayub Ndugagayi mwongozo kuhusu kamusi mpya tafadhari.
Aaaahkakosea kama ulivyokosea.
Usipoteze madaMheshimiwa Ayub Ndugagayi mwongozo kuhusu kamusi mpya tafadhari.
KumbeJIBU NI RAIS NIGERIA INA POPOLATION NA UCHUMI MKUBWA MARA 5 YA TANZANIA
Niliwahi kusikia uwingi wa watu sehemu licha ya athari lakini ni faida kiuchumi.Genevieve saivi ana stream Netflix saivi na ni kweli wingi wa wanigeria unawapa hawa watu audience kubwa na soko kubwa pia.View attachment 1118954
Wadau wa JF celebrities,
Nimeyafuatilia maisha au lifestyles ya waigizaji wanne wa kike wa Nigeria kweli sikuyaamini mafanikio makubwa walioyonayo kimaisha.
Nimemfuatilia Omotola, Genevieve, Ini na Mercy kupitia You Tube.
Ni mafanikio matupu kuanzia vipato, magari, majumba nk.
Najiuliza ni sanaa ya Maigizo tu au kuna siri nyuma yake?
Wasanii wa kike Bongo wanakwama wapi?