Nimefuatilia mtindo wa maisha/ lifestyles za Actress wa Nigeria siyaamini haya.

Nimefuatilia mtindo wa maisha/ lifestyles za Actress wa Nigeria siyaamini haya.

Sio watu wa kwao tu na hata nchi nyingine. Ndio wanaongoza kwa filamu za Kiafrika

Netflix kuna nyingine pia za kwao.. ni bombaaaaa kuanzia quality n.k.
Yaa pia Nollywood ni kati ya top industries duniani kwa ualishaji wa filamu nyingi
 
Back
Top Bottom