Nimefuatilia mtindo wa maisha/ lifestyles za Actress wa Nigeria siyaamini haya.

Nimefuatilia mtindo wa maisha/ lifestyles za Actress wa Nigeria siyaamini haya.

idadi ya watu inawabeba nigeria inawabeba maana wateja wengi.. na kiingereza pia.. movie zao wanauza africa nzima na asia..
 
Umefuatiliaje? Instagram au? Twambie walianza lini hiyo sanaa na wana nini na nini kwa kiasi gani na kwa muda gani ili tuona ufuatiliaji wako uko na mashiko ndani yake na sio kuwalenga wasanii wetu kwa njia mbadala.
Huyu jamaa amefuatilia kupitia Insta, inawezekana hao aliowataja wanayo mafanikio kweli, lakini hata bongo hapa tunao wenye mafanikio pia huko Insta!
Kwahiyo tunajivunia katika hilo.
 
Watanzania mnashindwa kusoma? Embu rejea mada uisome tena upunguze haya maswali yako.
 
Huyu jamaa amefuatilia kupitia Insta, inawezekana hao aliowataja wanayo mafanikio kweli, lakini hata bongo hapa tunao wenye mafanikio pia huko Insta!
Kwahiyo tunajivunia katika hilo.
Mimi sijafuatili Instagram bali You tube, hivi huwa hamsomi na kuelewa mada?
 
Duniani Nigeria ni nchi ya tatu ambayo wasanii Wa muvi wanaingiza pesa kubwa,ya kwanza USA,ya pili INDIA
 
Kule nako sembe inaliwa sana, ni vigumu kutoa hitimisho la jumla.
 
kitendo tu cha kufuatilia maisha ya wengine kinaonesha hauna kazi ya kufanya mkuu, no offense
 
Wadau wa JF celebrities,

Nimeyafuatilia maisha au lifestyles ya waigizaji wanne wa kike wa Nigeria kweli sikuyaamini mafanikio makubwa walioyonayo kimaisha.

Nimemfuatilia Omotola, Genevieve, Ini na Mercy kupitia You Tube.

Ni mafanikio matupu kuanzia vipato, magari, majumba nk.
Najiuliza ni sanaa ya Maigizo tu au kuna siri nyuma yake?

Wasanii wa kike Bongo wanakwama wapi?
Wabongo maisha duni yamewatamalaki....mtabaki kushanga tuu ...vitu vya kawaida sana hivyo....wekeni bidii ya kutafuta mikondo ya pesa za halali....uduni wa maisha unawafanya kushanga shangaa samahani lkn
 
Yamekuwa hayo?
 
Back
Top Bottom