Bongo passport tu hupati kama hauna safari, what do you expect?Genevieve saivi ana stream Netflix saivi na ni kweli wingi wa wanigeria unawapa hawa watu audience kubwa na soko kubwa pia.View attachment 1118954
Noma sana Mr GrinchBongo passport tu hupati kama hauna safari, what do you expect?
Mkuu tumekukosea nini?Duniani Nigeria ni nchi ya tatu ambayo wasanii Wa muvi wanaingiza pesa kubwa,ya kwanza USA,ya pili INDIA
Genevieve saivi ana stream Netflix saivi na ni kweli wingi wa wanigeria unawapa hawa watu audience kubwa na soko kubwa pia.View attachment 1118954
Yaa pia Nollywood ni kati ya top industries duniani kwa ualishaji wa filamu nyingiSio watu wa kwao tu na hata nchi nyingine. Ndio wanaongoza kwa filamu za Kiafrika
Netflix kuna nyingine pia za kwao.. ni bombaaaaa kuanzia quality n.k.
Elimu....Mkuu tumekukosea nini?
TAFADHARI???Mheshimiwa Ayub Ndugagayi mwongozo kuhusu kamusi mpya tafadhari.