Nimefuatilia shutuma nyingi dhidi ya Sabaya zinaonesha zina ukakasi. Hongera Rais kwa kuruhusu uchunguzi juu yake

Punguza ujinga!!

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Hapo Jambazi sugu Lengai Ole Sabaya, likiwa na Majambazi wenzake yanaenda kupora mali za watu, huku yakitumia magari yenye namba bandia za Umoja wa Mataifa!

Na yule Kaka Jambazi Daudi Albert Bashite, ashukuru wale alio wapora fedha zao enzi zile za ile oparesheni yake feki ya madawa ya kulevya, walimvumilia. Wachaga hawanaga huu ujinga. Yaani mtu anahangaika kutafuta, wewe unaenda tu kuchukua! Mara nipe milioni 10! Mara milioni 15! Shenzi kabisa. Sijui ni kwa nini huyo Carthbert hakumtolea kabisa na posa, ili awe mke wake.
 
Pole kwa maumivu. Kunywa Panadol yatatulia.
 
Alitaka kuwapiga matajiri wa mabus wakamzidi kete
 
Ndiyo maana Mimi mtu akiniambia eti tusimlaumu Magufuli kwa vile alikuwa na mazuri yake kwa kweli lazima nimdharau Sana.

Magufuli aliishi na mijitu ya HOVYO Kama Makonda na Ole Sabaya kwa sababu na yeye mwenyewe alikuwa mtu wa HOVYO sana.

Mtu jeuri, mwizi, mbabe, mwongo, mwenye chuki, muuwaji, dhuluma na mbishi wa kijinga aliyeibishia dunia kuhusu Corona na akafa kwa Corona
 
Nabii Lema muona mbali.
 

Attachments

  • 2773202-4821ae9e9d8f0edd3dfa37412ea0253e.mp4
    4.5 MB
Ndio alioendana nao.Hakika tulikuwa kifungoni vitani ujui kesho yako itakwisha salama au kwenye kiroba.Lkn Mungu you mwema usikia maombi ya wengi yafananayo Katu hakutuacha yatima.
 
New Member, umetumwa na nani kuja humu kumsafisha huyo mwendawazimu wako? Au ndiyo wewe mwenyewe Ole Sabaya umekuja kujitetea??
Amuulize MAKONDA,
Haya Mataga itawachukua muda Sana kuamini kuwa tupo awamu ya 6
 
Kwa hiyo unamshutumu mama kiaina. Wewe na sabaya mkoje
 
Jambazi sabaya ana kesi tele za kujibu mwache awajibike.
 
Non sense Kabisa
 
Wewe Dada Sukari Mine njoo usome ulichoandika last month
 
Ndiyo hivyo ananyea debe na usiku huu lazima machalii wamfokoe
 
Ukisikia Tanzania ina wapumbavu wengi, mmoja wapo ni Sukari Mine. Mleteni asome huu ugoro wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…