Nimefukuzwa kazi kisa nimekula chakula cha boss, inauma sana

Yaani haya mambo bwana! Nakumbuka mwaka wa pili nilibebeshwa somo(carry) kisa lecturer alijua me nina mahusiano na demu ambaye alikuwa anampenda but demu alimkataa.Ukaribu wa yule dada na mie ilikuwa group, so alikuwa groupmate.

Kosa lilikuwa nilienda live band na bahati nzuri- mbaya nikakutana na na demu huko na tukakaa meza moja ni chupa na music. Ohooo lecturer kaja katuona. Aisee nili-carry somo tena somo jepesi ktk masomo yoteeee.

Pole kaka, tafuta kazi kwingine, papuchi ilimshinda hata Samsung enzi za Delila
 
Huyo mwanamke uliyelala nae pia amefukuzwa kazi?
 
Ongea nae kistaarabu,
Mwombe akueleze kisa ni nini.

Kama akikwambia kisa ni uyo mwanamke, kua mpole na mstaarabu.

Na wewe kama mwanaume funguka kua hukujua na hata ni kweli hutorudia tena.

Wanaume sisi hatunaga visirani vya ajabu, usikute uyo jamaa nae kalishwa sumu mbaya mno.
Bila kufunguka akajua upande wa pili ukoje, atakuhukumu na utapoteza kibarua chako.

Kaa nae vizur kama mwanaume mwenzio, mwelekeze ilivokua.

Kamwe,
Usithubutu kujifanya jeuri kama huna mbadala wa iyo ajila yako.

Maskini jeuri ni msemo tu, isiutilie sana maanani ukaja kukugharimu sana maisha yako.

FOCUS ON YOUR FUTURE.
 
Mbunye haijawahii kumuacha mtu salama

Ulichopata kinakutosha
 
Chai
 
Ulikuwa hujui ni chakula cha bosi? au kujitoa fahamu tu...
 
Tumia huyo huyo secretary kurekebisha mambo .hawashindwagi hawa watu..kama wewe alikuweza .mwambie aweke mambo sawa kwa boss..lakini usizoee...nilichokusifu umekuwa striker mzuri.. Yani umefanya jambo nililotarajia...tambua hata usingekula chakula waliokuona wangesema tu umekula..kwahiyo hapo unapambana na tuhuma za ukweli bila hiyana
 
Chai plus alkasusu
 
Kuan kitu unaficha. Alipajuaje ghetto?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…