Nimefukuzwa kazi kisa nimekula chakula cha boss, inauma sana

Inawezekana vipi mshahara wako usimamishwe bila sababu zilizo bayana... na hizo kesi ofisini kwa HR yeye anakwambia tatizo ni nini?? Haiwezekani kuwe na kesi zisizo na sababu.... Lazima kuna mahala na wewe unaacha mianya mingi ya kushughulikiwa
 
Nasema hivi, as long as una uhakika wakupiga kazi vilivyo basi ni haki yako kulipwaaa, maybe kama unafanya kazi bila mkataba. Kuna haki zinazomlinda mfanyakazi.
 
Mwambie huyo bibie akaongee na mume mwenzio, kuwa ni yeye nyege zake. Anaweza kulimaliza hilo tatizo
 
Hii nayo ni chai boss wako alijuaje au stori bado haijaisha unamaanisha ulikua mandasi ya breakfast
 
Haueleweki Dogo, title inasema umefukuzwa kazi, chini unauliza eti hii kazi niipige chini au?
 
We mjinga kweli, yaani mwanamke akitoka kwenye chumba chako ndiyo kaliwa tunda? Je kama alikuwa kaja kukuletea ratiba yako ya kazi....hao marafiki zako walijuwaje kama umemla uroda huyo dada kama si wewe mwenyewe kuwasimulia? Nenda kajipe vidole kule, mshamba wewe.
 
Kuna pindi nimepanga naye jirani ni chawa wa boss alimuona wakati anaingia akaset stop watch kuangalia atatoka baada ya muda gani
 
Endelea kula mbunye tu ila kazi umeikosa ivo
 
Acha uongo mkuu.

Hakuna mwanamke ambaye anajitambua atapiga simu mwenyewe akikuomba aje kwako bila ya wewe kumshawishi aje ghetto kwako mkuu.

Anyway, pambana utafute kazi nyingine mkuuu.
 
Acha uongo mkuu.

Hakuna mwanamke ambaye anajitambua atapiga simu mwenyewe akikuomba aje kwako bila ya wewe kumshawishi aje ghetto kwako mkuu.

Anyway, pambana utafute kazi nyingine mkuuu.
Uliza shekhe wangu uambiwe mambo ya Tanga,huko mabinti huwa hawafuatwi wanakufuata ni kawaida sana.
 
Kamuombe radhi
 
Kwa maelezo yako ni kwamba geto lako lipo hapo hapo ofisini...
 
aisee sijui nisemeje. ila uikosea sana wewe umeajiriwa ndani ya siku za mwanzo kabisa ukaingia kichwa kichwa. Wajanja wanaingia akwa nidhamu ya hali ya juu, wanasoma mchezo wote ulivyo kabla ya kufanya mambo. Sasa kichwa cha chini kimezidi akili kichwa cha juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…