Nimefukuzwa kazi kwa sababu ya mke wa boss

Nimefukuzwa kazi kwa sababu ya mke wa boss

Joined
Jun 6, 2026
Posts
63
Reaction score
110
Aiseee baada ya watu kunisema sana kwamba nimeshakua niache kupiga punyeto na chabo nitafute mpenzi... Nikaona okay, ngoja nitafute demu sasa.

Jana nimefika ofisini, mke wa boss akawa ananichekea chekea... Nikaona yes, mambo si ndio haya. Nikamchombeza chombeza pale, anacheka cheka tuu...

Ofisini hapo saa ngapi mumewe asifike. Namna tulivyokuwa tumekaa alitatizika sana, ila hakusema moja kwa moja...

Leo nimeenda ofisini, nimepewa mkeka wa makosa kibaoooo, mpaka ya mwaka janaaa. Yani na kazi nimesimamishwa ndugu zangu... 😭😂

Mmeona ambavyo ushauri wenu wa nitafute demu umevyoniponza??? Bora nibaki na punyeto tuu.
 
Wewe umemtongoza Dada yako si ulisema ulichukuliwa na Shemeji yako aliemuoa Dada yako na huyo ndio boss wako au?
Kaka Ile ni Simulizi ya kweli ya Matukio yaliyotokea kwenye maisha YANGU ya 2019_2024.......... Kaka now Nina maisha mengine kabisaaa Na athari zake ndio hizooooo unazionaaa ........Wewe Endelea ku enjoy kuleee
 
Back
Top Bottom