Makonde plateu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 1,443
- 3,480
Tukisema ni ubaguzi nitakuwa nimekosea?
Kuna kasumba huku mkoa ninao ishi kuna ubaguzi ambao ndugu zangu wa upande wa pili yaani wakristo wanaufanya siandiki kwa ubaya wala ugomvi na mtu fulani kusema ukweli wakristo wa huku au sijui kote wapo hivyo wana ubaguzi sana iweje mimi nialikwe kwenye kipaimara na kupewa kadi kabisa ila nimefika tu ukumbini nimefukuzwa kuuliza sababu ni nini eti naambiwa mimi ni muislamu siruhusiwi kuhudhuria sherehe za wakristo eeeeh! Nimejiuliza sana maswali kwanini ndugu zangu hawa ni wabaguzi sana?