Nimefukuzwa kwenye sherehe ya kipaimara kisa mimi ni muislamu

Nimefukuzwa kwenye sherehe ya kipaimara kisa mimi ni muislamu

Nilihudhuria harusi moja ya kiislam ukumbini, cha ajabu sikuona aliyevaa kanzu, baraghashia, hijabu wala jumba, yaani hakukuwa na alama yoyote ya kiislam. Watu walivalia kimagharibi kuanzia maharusi hadi wahudhuriaji huwezi kuwatambua dini zao. Miziki ilikuwa ni ya kidunia na kidogo ya kiinjili. Naambiwa huko msikitini ilikufungwa hiyo ndoa ndio walivalia kiislam tena mtindo wa kinigeria ila ukumbini wakapiga suti na shela plus muziki mnene na vyakula na vinywaji vya kumwaga
Sasa hayo uliyo yaandika yana mahusiano gani na mada ?
Au na ww ni mkosefu wa akili kama mleta mada?
 
Yaani mtu akualike mwenyewe,then akufukuze?labda Kuna namna ulileta shida,so wakaona ni Bora uende TU nyumbani,kumbuka nchii hii Kuna vitu vitatu ukiviendea vibaya lazima wakuue,SIASA(CCM),SIMBA NA YANGA na DINI!!!
 
Sidhani Kama ni kweli, Sie Wakristu, especially sie wakatoliki ambao ndio wakristu Halisi na Original hatuna tabia hiyo.
Hatufukuzi hata Mpagani Kanisani.
Kwa Niaba ya TEC nalaani Kitendo Hicho.
Binadamu wote ni ndugu, na tunaweza kujenga Jamii, kufurahia Maisha yetu ya Kujamiiana bila kuweka tofauti zetu za Kidini.

AMDG!
Unalaani hiyo chai aliyoleta huyu jamaa?
 
Tukisema ni ubaguzi nitakuwa nimekosea? Kuna kasumba huku mkoa ninao ishi kuna ubaguzi ambao ndugu zangu wa upande wa pili yaani wakristo wanaufanya siandiki kwa ubaya wala ugomvi na mtu fulani kusema ukweli wakristo wa huku au sijui kote wapo hivyo wana ubaguzi sana iweje mimi nialikwe kwenye kipaimara na kupewa kadi kabisa ila nimefika tu ukumbini nimefukuzwa kuuliza sababu ni nini eti naambiwa mimi ni muislamu siruhusiwi kuhudhuria sherehe za wakristo eeeeh! Nimejiuliza sana maswali kwanini ndugu zangu hawa ni wabaguzi sana?
Kila kitu kinacho tokea katika maisha Yako nisehem ya mafundisho hivyo yahitaji utafakari Kwa kina ili sikunyingine USI jichanganye natumai misingi ya hekima unaifahamu ndugu
 
Waislam huwa mnaubaguzi
SWALI
Kwanini waislamu mkikuta mkristo kachinja either mbuzi au ng'ombe huwa mnasusia kula
 
Amefanya vzr sna kukutimua wangekupiga kbsa makofi ndio useme ni lini sis unaingia msikiti yenu
 
Tukisema ni ubaguzi nitakuwa nimekosea? Kuna kasumba huku mkoa ninao ishi kuna ubaguzi ambao ndugu zangu wa upande wa pili yaani wakristo wanaufanya siandiki kwa ubaya wala ugomvi na mtu fulani kusema ukweli wakristo wa huku au sijui kote wapo hivyo wana ubaguzi sana iweje mimi nialikwe kwenye kipaimara na kupewa kadi kabisa ila nimefika tu ukumbini nimefukuzwa kuuliza sababu ni nini eti naambiwa mimi ni muislamu siruhusiwi kuhudhuria sherehe za wakristo eeeeh! Nimejiuliza sana maswali kwanini ndugu zangu hawa ni wabaguzi sana?
Acha uchonganishi tz hatujafikia huko,, utafaid nn tukianza mikwaruzano kati ya wakristo na waisilamu? Alye kupa kadi si ndo mwenye sherehe? Huyu aliyekuzuia ni mlinzi au ni huyo huyo aliyekupa kadi? Kama ulizuiwa na mtu mwingine ulichukua hatua kumpigia mwenye shereh kumtaarifu dhidi ya wajakazi wake wanaokuzuia usiingie ndan kugonga pilau,na nyama za kukaanga na kuku?
 
Maswali:
1.Je, aliyekupa kadi ndiye aliyekufukuza?
Kama sio yeye, je, kwanini alikupa kadi huku anajua tabia za wakristo wa huko?
2. Kulikuwa na alama kwa wageni wote ambazo zinatambulisha dini yao?
3. Kwa maelezo yako sherehe ilifanyika ukumbini, maana yake totally controller wa sherehe ni huyo aliyekualika, ni nani tena mwingine alikuwa na nguvu kuliko mwenye sherehe?
 
. Huo ni uongo, wakristo hatuna huo ukritimba...

. Yawezekana ulikuwa umevaa sare/dera/gauni/kazu na kikofia juu, maana huwa hamchelewi kila sehemu utakayofika Haijalishi upo eneo gani ni mwendo wa SALAM WALEKHO.
Ahahahahh 🤣 🤣 🤣
Na kwenye gauni jeupe alificha kakiazi /kabomu
 
Wenyewe kwa wenyewe wanabaguana, ndio wakuache wewe yakhe?
⛏️🔨📢😇😇🤣🤣🤣🤣
 
Sasa hayo uliyo yaandika yana mahusiano gani na mada ?
Au na ww ni mkosefu wa akili kama mleta mada?
hayana uhusiano na mada ila ni kuonesha tu kunako sherehe ya maakuli hakuna ubaguzi wa dini
 
Ndugu Zangu Katika Imani
Tungoje Maulid Ya Kuzaliwa Mudi Tutapiga Ubeche Hapa Temeke Mikoroshini
 
Back
Top Bottom