Makonde plateu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 1,443
- 3,480
Sio kweliHiyo ni sherehe ya kidini ambayo inawahusu watu wa dini husika.
Akapike wakeUlibaguliwa kweli au ulianzisha fujo wakakufurusha?Uliulizwa jina na dini yako?Acha uchonganishi wa kulilia ubwabwa.
Apike kilo nzima na nyama nusu kilo.Ukiiva avue nguo zote ajifungie chumbani aule hadi azimie.Kulilialilia vijiubwabwa vya watoto siyo issue!Akapike wake
Kama kawa watoto wa mwisho kwa kulalama hamjambo..!! Mnalalamikia kila kitu.Tukisema ni ubaguzi nitakuwa nimekosea? Kuna kasumba huku mkoa ninao ishi kuna ubaguzi ambao ndugu zangu wa upande wa pili yaani wakristo wanaufanya siandiki kwa ubaya wala ugomvi na mtu fulani kusema ukweli wakristo wa huku au sijui kote wapo hivyo wana ubaguzi sana iweje mimi nialikwe kwenye kipaimara na kupewa kadi kabisa ila nimefika tu ukumbini nimefukuzwa kuuliza sababu ni nini eti naambiwa mimi ni muislamu siruhusiwi kuhudhuria sherehe za wakristo eeeeh! Nimejiuliza sana maswali kwanini ndugu zangu hawa ni wabaguzi sana?
Haifai kwa muislamu kushiriki sherehe ambazo hazipo katika sherehe za dini yake.Tukisema ni ubaguzi nitakuwa nimekosea? Kuna kasumba huku mkoa ninao ishi kuna ubaguzi ambao ndugu zangu wa upande wa pili yaani wakristo wanaufanya siandiki kwa ubaya wala ugomvi na mtu fulani kusema ukweli wakristo wa huku au sijui kote wapo hivyo wana ubaguzi sana iweje mimi nialikwe kwenye kipaimara na kupewa kadi kabisa ila nimefika tu ukumbini nimefukuzwa kuuliza sababu ni nini eti naambiwa mimi ni muislamu siruhusiwi kuhudhuria sherehe za wakristo eeeeh! Nimejiuliza sana maswali kwanini ndugu zangu hawa ni wabaguzi sana.
Usikute alifukuzwa na muislamu mwenzie..!!Acha uchochezi wa kidini watanzania tunasupportinana kwenye kila sherehe as long as ulialikwa kwann ufukuzwe?
Kuna dhehebu angesema ni sawa maana zina ubaguzi hata kwa wakristu wenzao. Ila wakatholiki tena kwenye sherehe, sijawahi kushuhudia wala kusikiaSidhani Kama ni kweli, Sie Wakristu, especially sie wakatoliki ambao ndio wakristu Halisi na Original hatuna tabia hiyo.
Hatufukuzi hata Mpagani Kanisani.
Kwa Niaba ya TEC nalaani Kitendo Hicho.
Binadamu wote ni ndugu, na tunaweza kujenga Jamii, kufurahia Maisha yetu ya Kujamiiana bila kuweka tofauti zetu za Kidini.
AMDG!