Nimefukuzwa kwenye sherehe ya kipaimara kisa mimi ni muislamu

Nikushauri. Siku nyingine usifikirie kabisa kwenda kwenye sherehe zao. Hata wakikuarika we kataa mpaka ujiridhishe wameacha ubaguzi.
 
Vipi,ulikuwa umeshakula ubwabwa au ratiba haikuwa poa?
 
Walikuheshimu sana vinginevyo ungekwazika kwa mlo wa kitimoto
 
Umekosea pakubwa na inaonekana dini yako huitambui, uislam hauruhusu kudhuria sherehe isiyo ya dini yako.
 
mbona mimi naingia mpaka kanisani kabisa hakuna hata anayeniuliza na wote wanajua mie ni muislamu
 
Ninyi hamna ubaguzi?
 
Wapi waislamu wanabaguliwa?
Achane uchochezi wa kiimani
Basi tutumie neno ubinafsi,kama ubaguzi limekaa vibaya,na huku nyanda za juu kote(mufindi Kwa sasa) Wana hicho kitu,sio udini TU hata ukabila Yaani wanakaza sana Kwa watu wageni!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…