Nimefulia wandugu, Mshahara Juni 2021 tayari?

Nimefulia wandugu, Mshahara Juni 2021 tayari?

Hii ndio tabu ya kuajiriwa,akili yote inafikiria kuingiziwa salio,siku tutakayostaafu sijui tutaishije mitaani,
 
Nitumie Account number, name and CIF yako. PM
CIF tena?? Amekua gari [emoji38][emoji1787][emoji23][emoji81][emoji38][emoji1787][emoji23][emoji81][emoji38][emoji1787][emoji23][emoji81][emoji38][emoji1787][emoji23][emoji81][emoji38][emoji1787][emoji23]
 
Ukistaafu utakula mafao yako
Hayo mafao utakayoyapata utakuwa unatoa tu,kumbuka tofauti na mtu anayefanya biashara.......wewe angalia wastaafu wengi maisha wanayoishi umeyaonaje
 
Back
Top Bottom