Nimefulia wandugu, Mshahara Juni 2021 tayari?

Nimefulia wandugu, Mshahara Juni 2021 tayari?

I am in Low Water, nimefulia Kwa kweli. Tegemeo la Kwanza Salary ya Serikali. Mshahara wa Juni 2021 naona umechelewa. Nimesubiri SmS ya sijapata. Wengine kwenu Vipi?
"Walimu mna matatizo"
Nimerudia kusoma zaidi ya mara mbili, sijaona sehemu yoyote ile mtoa mada alipojitambulisha kama yeye ni mwalimu. Hivyo unatakiwa kuacha umbea.
 
Statesman alishakuwa Mtumishi katika chuo cha ualimu Morogoro (Kigurunyembe). Kwa sasa ni mtumishi mtiifu wa Ofisi za Lumumba ktk chama cha mboga mboga; malipo ya buku 7 yatategemeana na idadi ya comments mbovu dhidi ya Chadema.
Duuh, sijawahi fundisha kigurunyembe,

Ila nimepata sehemu ya elimu yangu Morogoro.
 
Back
Top Bottom