Nimefulia wandugu, Mshahara Juni 2021 tayari?

Nimefulia wandugu, Mshahara Juni 2021 tayari?

Kwasababu inakufanya ujisikie kwamba hauko peke yako au wewe una nafuu kwenye hustles za maisha.Si ndio?

Kisaikolojia uko sahihi kabisa.
Mkuu mimi nyuzi yoyote inayofurahisha naipenda sana.

Ukienda kwenye uzi wa vituko mtandaoni mimi ni mdau mkubwa tu.

Nyuzi kama hizi zinanifurahisha.
 
Back
Top Bottom