Nimefulia wandugu, Mshahara Juni 2021 tayari?

Nimefulia wandugu, Mshahara Juni 2021 tayari?

Labda niweke suala moja very clear, watumishi wanaulizia mishahara kwa sababu ndio kitu ambacho wame-trade muda wao kuwa watumishi, sidhani kama ni sawa mfanyabiashara akija na kumsema mtumishi ambae anasubiria mshahara, kila mtu anatumia mda wake kwa namna aliyochagua kupata kipato. Whether employed or self employed they are both employed tofauti ni boss tu.
 
Kweli kabisa,nashangaa wanaoponda
 
Wewe baada ya miaka ishirini kutoka sasa hivi👇Kuajiriwa ni kukubali kutukuza umasikini.
109_20210624_121857.jpg
 
Dah mi naomba hata kesho ngoma isome, nitaangalia wapi mpira na kifurushi kwishney
 
you mean juni tarehe 24 hujalipwa mushara wa huu mwezi wa juni 2021, kwani serikali ya bongo imekuwa broke, kenya mishara ya wafanyakazi wa serikali huja tarehe 26 ,yaani mfano tarehe 26 june munapokea pay ya mwezi wa july, pay ya june watu walipokea 26 of may
 
Matatizo ya single source of income, mtu mshahara ukichelewa kidogo tu hauna pakugusa, watumishi tujiongeze vyanzo vya mapato viwe vingi
 
Matatizo ya single source of income, mtu mshahara ukichelewa kidogo tu hauna pakugusa, watumishi tujiongeze vyanzo vya mapato viwe vingi
Sasa Kama ww ndo unaduka lako la nguluka kaa utulie ndo chanzo chako Cha mapato ambacho kinategemea mtumishi apokee mshahara ndo aje anunue.. tuwe na uelewa maisha tunategemeana unafikir wote wangekuwa watumishi Nani angetuuzia mchele au nguluka....
 
Back
Top Bottom