Nimefulia wandugu, Mshahara Juni 2021 tayari?

Kwahiyo wanapokea kabla ya kazi??😂😂
 
Na mbaya kuna watu, wamepunguziwa hata mishahara( wamekatwa) waliyokuwa wanaçhukua.
 
Mh wengine mbona bado hatujapokea aisee
CRDB naona bado, nyie si mmezoea. Huwa tunaanza NMB halafu mnafata? Au umesahau?[emoji23]
Kingine, kuna wengine Madaraja hawajaona...itakuwa ndo wale ambao mchakato ulikuwa unaendelea, naona watapewa Mwisho wa July.

Sent from my SM-J200F using JamiiForums mobile app
 
Mlinzi wetu kapunguziwa mshahara kutoka 346,000/= take home mpk 270,000/=
In due respect; huwezi jua mambo ya mtu...watu wengine wana mambo yao, na unakuta mtu anajiongelea tu kwa watu.... So, jambo la uhakika ni lako mwenyewe.

Huwezi jua ana shida/mambo gani!
Lkn pia anaweza kuwasilisha issue yake kwa uongozi kama kweli...kweny hizi issue kuna mambo mengi sana, ambayo muhusika ndo anajua.

Sent from my SM-J200F using JamiiForums mobile app
 
Umenena vyema,watu wengine ni "wangese", mtu anaweza eleza uongo ili asikie kutoka kwa wengine mambo yameendaje,naunga mkono hoja,jambo la uhakika ni lako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…