Nimefumaniwa Na Mchungaji Usiku Huu

We una busara sana
 
Naona unafanya utani wakati hili Ni swala la aibu, nimekosa usingizi usiku kucha
Swala la aibu mtoto wa kiume kutoka geto kumtomba mtoto wa kike??ulitaka akuone umetoka na kidume mwenzako geto kwako ndio angefurahi??acha ufarlaahh kaka kwamba yeye mchungaji hatombagi au???au "inawezekana" nae alikua anamwelewa huyo manzi wa kanisani na inawezekana umemzidi kete na yeye alikuwa kwenye harakati!!!Na koma kukosa usingizi kwenye swala ambalo ni haki yako huo ni unyokoo mbili!!
 
Bado haujaokoka kijana.Mlokole safi hatumii maneno kama genye au ghetto.Ungesema uliingiwa na roho mtakatifu mkasemezana(genye).Na getto ungeita madhabahu ya kutolea dhabihu safi.
 
Mchungaji alijuaje kama umetoka maabara?

Tubu dhambi ya uongo
 
Acha kujipakinisha wewe. Endelea kugegeda.
 
Mchungaji ni mwepesi wa kuona kibanzi. Amekuona tu na binti tayari amekuhukumu. Ulimwambia umetoka kufanya uasherati? Au aliongozwa na roho? Kama MUNGU wako aonaye sirini alikuona na hajakushukia kukunyang'anya flash aliyokupa huyo mchungaji usimuogope kuliko MUNGU.
 
Sahihi sana mkuu nimewaza pia mchungaj kathibitishaje kuwa jamaa kafanya ngono? Kama ni majibu baada ya kumuona huyo dada basi kuna uwezekano mkubwa ana uhusiano na huyo bidada na kilichotokea ni wivu.
 
Hili nalo linawezekana. Mzinzi huwa mwepesi sana ya kuhitimisha kuhusu uzinzi. Hata mkeo ukiona ni mwepesi sana wa kufahamu mazingira ya ww kutoka nje usidhani ana wivu, ni kwamba anauzoefu. Anajua mtu aliyetoka kuzini anafananaje sababu ana uzoefu.
 
Huyo mchungaji ni walewale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…